Niko mbweni natafuta shule ya watoto wadogo wa miaka miwili ande kwenye hizi shule maarufu kama daycare akacheze na wenzaka mawneo ya huku mbweni,kuma mtu mwenye uzoefu na hizi shule anaisaidie mawazo hasa miita ya huku mbweni.