Nauza mihogo mibichi mitatamu sana kuchemsha au kula mibichi.
napatika dar.
Nahita sana muhogo nitaupataje dada mkulima.
Ingia dm nitumia namba nikuletee mzigo.
Miogo bado ipo?
@enock ipo yakutosha