Notifications
Clear all

Control box Ya prado 150 body engine 1GD PRADO

10 Posts
3 Users
2 Reactions
88 Views
Kasanga Tumbo
(@kasanga-tumbo)
Posts: 6
70K Balance
Topic starter
 

Nashida na Cotrobox ya Ya prado 150 body engine 1GD PRADO Automatic.

E64A79CE EBF6 4D9A A349 015368BF2782
D5CB46F5 00C0 42C9 A5DD 7874C5C5B060
46E3CF4D 2711 4ECC 9DA4 5251DF23501B
  • ENGINE CONTROL 8966660U61
  • MODEL 3DA-GDJ150W-GKTEY-E 2754 ML
  • ENGINE CODE 1GD-FTV
  • FREME NO GDJ150-0084695

 
Posted : September 23, 2025 8:02 pm
Jonson John reacted
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 531
Seller
 

@kasanga-tumbo Hii  mkuu kama unahitaji kutoka Japan inabidi uwe na Unlimited Membership, Kuna gharama kuitafuta hii Control  ikipatikana usije ukaingia mitini bro. Ongao vizuri na @admin mkimalizana nitume watu waisake.


Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

 
Posted : September 23, 2025 10:21 pm
Kasanga Tumbo
(@kasanga-tumbo)
Posts: 6
70K Balance
Topic starter
 

@jonson-john isipopatikana je?


 
Posted : September 23, 2025 10:25 pm
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 531
Seller
 

@kasanga-tumbo Ongea na Admin cheki kwenye whatspp yake,au ongea na  member mwenye Unlimited hizi kazi ni ngumu sana lengo langu ikipatikika usikimbie kwasabu hii kazi yako ni ngumu sana hii Control ya kutafuta sehemu nyingi sana kuna ghrama.


Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

 
Posted : September 23, 2025 10:29 pm
Kasanga Tumbo
(@kasanga-tumbo)
Posts: 6
70K Balance
Topic starter
 

Usiwaze niko serious bro 😎 nahitaji sana.


 
Posted : September 23, 2025 10:31 pm

Hirano Motohiro
(@hirano-motohiro)
Posts: 28
Seller
 
image

There are the required information  for us to start the inquiry via comment section  and calculate the shipping cost can you can  pay membership   We will check the price and availability of the mentioned part and get back to you via private messages. 


 
Posted : September 24, 2025 5:40 am
Kasanga Tumbo
(@kasanga-tumbo)
Posts: 6
70K Balance
Topic starter
 

@hirano-motohiro I am going to pay that member soon you view all details you want.


 
Posted : September 24, 2025 5:54 am
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 531
Seller
 

@kasanga-tumbo Bado tunatafuta nitakupa jibu soon.


Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

 
Posted : September 25, 2025 8:09 pm
Hirano Motohiro
(@hirano-motohiro)
Posts: 28
Seller
 

Thank you for your inquiry.

According to #GDJ150-0084695,
89661A is 89666-60C52.

Unfortunately, the parts you inquired is discontinued.
The manufacturer won't produce it anymore.
We can not find used parts, either.

89666-60C52

We truly apologize for the inconvenience.
If you are interested in any other Japanese auto parts, please feel free to contact us anytime.
We hope to see you again shortly.


 
Posted : September 27, 2025 10:23 am
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 531
Seller
 

Hii ni kipusa mkuu.hakuna kila sehemu hata mjapan hapo juu kachemka sio mchezo.


Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

 
Posted : September 27, 2025 10:25 am