Notifications
Clear all

URGENTLY WATENTED Vifaa vya Electrics vinahitajika haraka sana

4 Posts
2 Users
2 Reactions
37 Views
Mtu Kazi
(@mtu-kazi)
Posts: 3
Balance 0.000
Topic starter
 

Security system za inahitajika 

za kwenye majumba 

za kwenye Magari 

Kama kuna mtu anaweza kunitumia picha na bei naomba tuwasiliane.


 
Posted : September 22, 2025 6:30 am
Udemy China reacted
Udemy China
(@udemy-china)
Posts: 4
Balance 0.000
 

Ulipaswa utaje aina ya bidhaa unazozitakaka pamoja na idadi bajet yako nk kuwa specific utume jumla jumla 😎.

 


 
Posted : September 22, 2025 6:49 am
Mtu Kazi reacted
Mtu Kazi
(@mtu-kazi)
Posts: 3
Balance 0.000
Topic starter
 

@udemy-china Kwani hapo sijaeleweka bro kwani wewe unauza nini hapa?


 
Posted : September 22, 2025 6:57 am
Udemy China
(@udemy-china)
Posts: 4
Balance 0.000
 

@mtu-kazi Siuzi kitu naangalia requests za wateja nakuzifanyia kazi nfano ungeweka aina ya camera au majina ya vitu unahitaji ingekuwa rahisi sana ningekupa bei.


 
Posted : September 22, 2025 7:02 am