Kamakunamtu anahitaji container la 40ft bado zima naomba tuwasiliane. Documents za umuliki zipo.
Location liko Tabata Dar Es Salaam.
bei 5ml.
Karibu sana.
Ukkataka mawasiliano tuma private meseji.
Hili container bado lipo?
@mtu-kazi Limeuzwa jana boss.