Notifications
Clear all

Bank gani infaa kungua account ya mtoto wangu

3 Posts
3 Users
0 Reactions
49 Views
(@msobi)
Posts: 2
0.000 Pay Cash
Topic starter
 

Habari ndugu zangu.

Benk gani ni mzuri kufungua account ya mwanangu au wanangu kwajili ya kuweka pesa zao?


 
Posted : September 15, 2025 8:19 pm
(@technically)
Posts: 3
0.000 Pay Cash
 

@msobi NMB wako vizuri sana.


 
Posted : September 18, 2025 5:33 am
Sniper
(@sniper)
Posts: 100
2.M Trade Bond
 

CRDB wanayo huduma hii.


 
Posted : September 18, 2025 6:14 am