Habari maboss,tunauza tv za LG model tofauti kwa bei nafuu
LG TVS C
LG SMART 4K/UHD(Latest & Frameless)2025
MODELS
43 inch =995,000
50 Inch =1,250,000
55 inch
1,399,999
65 Inch 2,050,000
75 Inch 2,980,000
Nanocell(Latest & Frameless)
55Nanocell-1,680,000
65 Nanocell =2,280,000
75 Nanocell = 3,200,000
86 Nanocell = 5,380,900
55QNED=1,895,000
65 QNED=2,670,000
75QNED= 4,200,000
86QNED = 5,980,000
Lg Smart Oled(Nyembamba kama Wembe)(Latest
& Frameless)
55B4=2,999,999
55C3 3,750,000
55C4 3,999,999
65B4 4,300,000
65C3 4,650,000
65C4=5,350,000
77C4 8,800,000
83C4=13,500,000
Tupo kariakoo Ndanda na muhonda 📍
LG Inch 65 2,050,000 Bei ya kuuza bei gani?
@admin nahita hii TV naweka depots soon kaichukue na kuituma kwenye Magari ya classic Kolwezi.
width 144.5×
image performance * tuner
screen resolution :4K(3840×2160 pixel )
HDR correspondence :HDR10|HLG|Dolby Vision
tuner number : ground digital ×2,BS*110°CS
Smart function OS installing
sound operation :Google assistant correspondence , sound search
@Jonson25 Hiyo Tv ni mzima,bado mpya kabiasa mkuu usiwaze, huku watu wananunua vitu nakutumia kidogo kisha wanauza,Kama uko serious weka pesa isome kwanza kisha toa location.
Kama uko Dar utafungiwa TV yako utaangalia kwa nuda wa siku mbili kisha lipa pesa yangu, ukishwanda kulipa ndani ya muda wa siku mbili nitamuomba @admin yupo kazini,lakini kama una zero balance tusichoshane.
Yeyote anayetaka hii TV kama uko serious nakupeni option mbili unaenda dukani kwangu ilala unalipia unaondoka na mzigo wako au unaweka hela kwenye account yako unaletewa mlangoni, hiyo bei 950,000 Tsh ni pamoja na kufungiwa TV yako baada ya ku delivery .Kama uko nje ya Dar unatumiwa baada ya kuweka pesa kwenye account yako.
@senator hakuna grantee bro, ukitaka utwashiwa kwenye kig'amuzi pia na wi-fi baada ya hapo ukianguka nayo njiani ukirudi tunakukataa.
@ally-kanagawa Sawa naomba week moja mkuu hiyo TV niichukue malipo yakamilike baada ya week moja,nikuekeze seme ya kuipeleka.
Kama unayngine hapo Dar unaweza kunitaarifu tujue chakufanya boss.pia siombaya ukitumia namba yako ya simu ya whatspp kwajili biashara.
@Ally-Kanagawa naomba mambo yasiwe mengi tumalize hiyo biashara@admin i agree to pay that Tv from my balance 1,ml to buy TV Type of ORION above for 950,000 Tsh. Please accept the payment @Ally-Kanagawa tutachukulia maelezo yako hapo juu kama ushahudi baada ya kupokea mzigo.
@ally-kanagawa mimi ni mpya hapa kwenye hii platform, hii ni platform kama nyingine ambayo ni UGC kama zilivyo nyingine.
Kwanini usiazishe thread ya kwako ukapost bidhaa yako kama nilivyofanya mimi?
Najua sheria haikukatazi lakini tumia common sense na behave
Noted.@Ally-Kanagawa naomba mambo yasiwe mengi tumalize hiyo biashara@admin i agree to pay that Tv from my balance 1,ml to buy TV Type of ORION above for 950,000 Tsh. Please accept the payment @Ally-Kanagawa tutachukulia maelezo yako hapo juu kama ushahudi baada ya kupokea mzigo.