Kutokana na Uhaba wa Vifurushi kwa sasq, vifurushi vizuri vinapatikana Tigo postpaid na Airtel Sme.
Airtel SME.
Tigo postpaid
Namna ya kupata official hivi vifurshi, tembelea wakala wa mtandao husika wa karibu ukiwa na Tin no, leseni na kitambulisho.
Kama huna details hapo juu ningumu hakuna mawakala atakuungnisha bila Tin no, usidanganyike , ila kuwa makini na matapeli.
Update
Kwa wanaojiweza vipo pia vifurushi vya Unlimited vya 5G kwa sasa vinapatikana Airtel na Vodacom kwa urahisi.
Vodacom
-kasi internet inaanzia 10,000 kwa mwezi, unatumia around GB 10 speed inashuka ila inabaki unlimited. Sio kifurushi kibaya kama umekosa internet nyengine.
-Supakasi hii inaanzia 115,000 ni unlimited. Sema inahitaji tin no na leseni
Airtel
Wana unlimited kama Vodacom ila hii inaanzia 70,000 kwa mwezi na instalation fee ni 200,000 malipo ya mara moja, uzuri wa hii mtu yoyote anaungwa sio lazima uwe mfanyabiashara.
Ukinipatia hivi hapo chini chap nakunga fasta.
Kube hizi huduma za kweli naonaga kwenye mitandao ya kijamii sijawai kutilia maanani kwasabu ya upiga wa watu wa mitandaoni. unaungaje voda vivurushi vyao vikoje?
@shadida Tuma kwenye Private Messenger please.
@manda Kwaniaba ya watumiaji wa Airtel naomba kujua huduma hii imekaaje?
Hakuna Vifurushi vya wafanya kazi?
Hapana boss wangu.
@mercy-njunwa Vigezo siweki mimi boss wanaweka wenye mtandao wao.
Hii huduma kujiunga ni hizo vitu au kuna hela pia?