Kama kuna mtu anauza perfume na hitaji kwa bei ya jumla.
Weka picha na bei,Niko Gairo.
Nahitaji aina zote za kike na kiume.
Unahitaji original au zakawaida?mimi na original kutoka Warabuni nitumie namba yako mzigo ukifika nitakucheki.
Nimekutumia picha ingia private,ukizielewa tufanye biashara.