Nilikuwa nahitaji Rimoti ya TV yangu iliharibika..
Nimekutumia picha ya hiyo Rimote.jima inaitwa MEWE .
Naifanyia kazi,naomba muda nikutafutie.
Mini ni Winga wa online ukitaka kufanya kazi na mimi fanya hivi Post kile kitu unatafuta kisha nitakuunganisha na wauzaji. 💣 🍒 🍹 🍻
@winga-mzoefu Itachukua mudagani?