Wadau hivi Engine ya Yamaha HP 40 sokoni inaendaje?
Nahitaji Used ambayo imetumika nje.
@dagaa-mchele Utapa kwa 12ml.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿