Iwe ndogo kirikuu cha Hijet Daihatsu nashida nacho.
Ungetaja mwaka ingekuwa vizuri zaidi ila nitakutumia bei ya Hijet zilizopo hapa officeni.
Sawa mkuu.
Nimeona namba umitumie picha kama kumi niangalie vizuri ndani na nje.
Nashukuru sana Gari mzuri sana Mungu wabariki sana.
Niliambiwa jana ningetumiwa card yangu ya Gari lakini kimya sijui naipataje?