Natafuta supplies wa chupi za kike niko Shinyanga mjini naomba tuwasilie.
Chupi za watoto wanaume wanawake au zake?
Zote zote nachukua as long as chupi.
Mpya au za mtumba?
Mpya.
Leta Biashara Yako Tukutangazie Bure.
Tuambie Unauza Biashara Gani Au Unatoa Huduma Gani na Unapatikana sehem Gani.
Baada ya Kujisaji Fungua Page Kisha comment hapo chini .
Click Here!
Mimi pia natafuta.