Habari ndugu na Jamaa,
kama kuna mtu anaweza kuniuzia Dagaa wa Bukoba wakubwa kwa size pia wawe na changa naomba utwasiliane.
Order yangu kuanzia kg 100 kila week.
Hawa hapo kg 1 nitakuuzia 8,000
@fish-finder Naomba namba Yako nitakupigia.
@zrf-temeke 0683 914 483