#TRADE BOND NINI?
- TRADE BOND ni kiasi cha pesa ambacho mfanyabiashara au mtoa huduma anapaswa kuwanacho kwenye account yake kabla ya kupokea pesa kutoka kwa mnunuzi.Yale mambo ya office yako ikowapi,sijui tukutane hakuna tumia TRADE BOND ni kila kitu.
#PAY CASH NINI?
- PAY CASH nikiasi cha pesa ambocho kila mnunuzi anapswa kuwanacho kwenye account yake baada ya makubaliano na muuzaji.
#NITAJUAJE KAMA MUUZAJI ANA TRADE BOND?
- Ukiangalia kwenye profile ya kila mtumiaji kuna taarifa utaweza kujua kama mtumiaji na status gani kati ya hizi zifutazo.Mfano.
- 100K Trade Bond :Usilipe pesa zaidi ya 100,000 Tsh Shillings
- 100K Pay Cash:Mnunuzi ana salio kwenye e-wallet yake yenye kiasi cha shillings 100,000.
- 00.000 Pay Cash :Mnunuzi hana salio.
- 00.000 Trade Bond :Muuzaji hana Trade Bond.
#TRADE BOND CANCELLATION NI NINI?
- Mnunuzi anatakiwa kumtumia taarifa admin ya kwamba kilakitu kimeenda sawa ili Trade Bond ya Muuzaji iweze kurudi kwenye nafasi yake.
- Kwanfano muuzaji akiwa na Trade Bond ya 10,000 mnunuzi akanunua bidhaa zenye dhamani ya 10,000 kabla ya mnunuzi kumwambia admin kwamba kapokea mzigo wake muuzaji atakuwa na zero balance TRADE BOND hivyo itakuwa ngumu kufanya biashara kabla ya cancellation ya bond yake.
- Mununuzi ukichelewa kufanya cancellation ya muuzaji utakuwa umekiuka kanuni zetu za malipo ya huduma hii.
#.WAUZAJI:
- Kuweka Tangazo lako la biashara ni bure, chagua jukwaa.
- Weka bidhaa zako unazozitangaza kisha post.Makubaliano yote yafanyike wazi kupitia kwenye comment section .
- Admin ata approve kila posts na comments kwenye platforms zetu zote.
- Kwenye Tangazo lako usiweke namba ya simu badalayake tumia messenger kutuma mawasiliano au au documents za siri.
- Wasilina na admin kwamaelezo zaidi.
#.WANUNUZI:
- Kuweka Tangazo lako la hitaji lako ni bure.
- Hakikisha unaweka kichwa cha habari cha kitu chochote unachokihitaji kisha tuma jukwaa usika.
- Baada ya kupata bidhaa zako hakikisha muuzaji ana TRADE BOND yenye kiasi kinacholinga na pesa unazotaka kumtumia au zaidi ya hicho kiasi.
- Usifanye makubaliano yoyote na muuzaji nje ya comments section .
- Baada ya makubaliona,Weka pesa yako kwenye e-wallet ya Pay Cash.
- Fanya malipo ya muuzaji.
#WANUNUZI NA WAUZAJI
- Kuna njia mbili za kufanya biashara kwenye Majukwaa yetu yote.
- Unaweza kuweka Tangazo lako baada ya kupata mteja mkapeana namba za simu mkakutana mkakutana.
- Unaweza kuweka bidhaa zako ukapokea pesa online bila kukutana na mtu.
- Ili uweze kuweka namba za simu kwenye Tangazo lako au kwenye Post yako utakiwa kuwa na Trade Bond kama ni muuzaji ya 1k ambayo ni sawa na shilling 1,000.
- Kama ni munuzi utapaswa kuwana Pay Cash ya 1k sawa 1,000.Â
#.AdminÂ
- Kazi ya admin kusimamia biashara kati ya muuzaji na mnunuzi  kuakikisha hakuna udanganyifu kabla na baada ya mzigo kutumwa.
- Kabla bishara kufanyika Admin utamlipa fee ya huduma hii.
#HUDUMA ZA KULIPIA.
- Kupini Tangazo lako juu kwa mwezoÂ
- Kufanya Verification ya Biashara yako au pata alama ya (SELLER) inategeme sehemu uliopo wasilina na admin.
- Kuweka Tangazo kwenye Head utalipia kwa mwezi.
- Kuweka Tangazo lako kwenye Bottom kwa mwezi.
- Kuweka Tangazo kwenye Top kwa mwezi.
- Kuweka Tangazo lako kwenye foot ni kwa mwezo.
- Kuweka Tangazo kwenye Category list kwa mwezi.
- Kuweka Tangazi kwenye Forum list kwa mwezi.
- Kuweka Tangazo lako kwenye Topic List kwa mwezi.
- Kuweka Tangazo lako kwenye Post listÂ
#OFFA.
- Tunatoa Ofa ya Tangazo moja bure kwa members wenye sifa zifutazo.
- Amejisajili
- Ameweka profile picture(sio lazima uweke picha yako.
- Tangazo lolote la biashara kwa muda wa mwezi moja.
- Au Kupini Post yako juu bure kwa muda wa mwezi moja.
- Kama unataka ofaa hii comment hapa chini kwenye comments section.Â
- Hii ofa nikuanzia 04/28/2025 hadi 05/29/2025 tengeneza Tangazo au post leta kwa admn akutangazie bure.
#VIGEZO NA MASHART KWA WATUMIAJI WOTE KIZINGATIWA.
- Kila mwanachama wa platform hii anapaswa kuheshi kanuni na taratibu tulizojiwekea.
- Sio lazima kujisajili kwajina lako kwasababu mifumo yetu inajitosheleza kulinda watumiaji wote.Â
- Biashara zote zitakazo Tangazwa au kufanyikia kupitia kwenye jukwaa hili,Digxam tunawajibika kuakikisha biashara zinafanyika bila udanganyifu chini ya features za plaform hii pamoja na  admins wetu.
- Kama wewe ni muuzaji au mnunuaji hakikisha unaheshimu kanuni za jukwa hili kuepuka kufungiwa account yako.
- Gharama zetu ni ndogo sana ukilinganisha na huduma tunazozitoa kidigital ,wote mnakaribishwa.
#JINSI YA KUWEKA BALANCE KWENYE WALLET YAKO PAY CASH AU BOND.
- Tumia lipa namba ya Tigo 17556125 jina ni Digxam Trades.
- Unaweza kutumia account CRDB bank 015C598771300.
- Pia unaweza kutumia Account ya NMBÂ Bank ni 23810028976 .
- Kumbukumbu namba tumia use name jina ulilolitumia kusajili.
- Utalipia gharama za miamala yani Trasaction fees.
Posted : April 23, 2025 6:58 am