Samaki bei gani?
@lucy-walter bei za Samaki Nauza
Nambo namba yako tuwasiline,niko Shinyanga.
Kwanini hujaweka namba ya simu?
@mjasiriamali Tuma Privet Message nitakupa mawasiliono.Nikosa kuweka namba za simu kwenye Tangazo, nitafungiwa account yangu.
Dondosha namba acha woga.
Hata hivyo kuweka namba kwenye public ni risk, ukishindwa kutumia huduma za Private weka namba yako nikupigie.
Utaratibu wa mauzo unatakiwa ufanye mambo yafuatayo kwamujibu wa admin notis, na platforms rulers za hapa.
Kama hakuna changamoto basi naomba utuheshi taratibi na miongozo walizotuwekea kwania njema ili tufanye bishara bila kuumizana.
@jack Huu ni utaratibu mzuri sana nimeishautumia unaondoa utapeli,hawa wanakuzonga na kuomba namba za simu kuwanao makini sana wanaweza kuwa matapeli.
@cheusi Acha kashifa na kutuhumu wenzio,thibitisha wapi tumetaka kumtapeli?
Usafiri wa ndoo moja kwenda Shinyanga stendi ya Magazo gharama za usafiri bei gani?
@lucy-walter Bei ya manunu kila ndogoo ya dagaa wabichi ni kama hvi
Asante!
nimeshapakia Gari limeishapita Usagara, baada ya lisaa na nusu kacheki mzigo wako shy.