Notifications
Clear all

LIVE AUCTION VIAZI MVIRINGO KUTOKA MJOBE IRINGA

6 Posts
2 Users
0 Reactions
598 Views
Kabandwatz
(@kabandwatz)
Posts: 7
1k Pay Cash
Topic starter
 

Habari wakuu!

Nauza viazi kutoka Iringa moja kwa moja Njombo kwanjia ya Mnada.

Kama unahitaji Viazi kwajili ya kupika au kutengeneza chips au kwajili ya clips natwasiline kwanjia ya mnada,Unaweza sema unahitaji hili gunia kwa bei gani.

Sema ulipo ili nijue hgarama za usafiri.

Taja offa yako utaoa ngapi gunia unalia hapo shungi.

RUMBESA

 


 
Posted : March 15, 2025 6:34 am
Innocent
(@innocent)
Posts: 48
200K Trade Bond
 

@kabandwatz 20k vipi inalipa?


 
Posted : March 15, 2025 8:34 pm
Kabandwatz
(@kabandwatz)
Posts: 7
1k Pay Cash
Topic starter
 

@innocent Shungi lote hili 20k bro sio kweli.


 
Posted : March 15, 2025 8:38 pm
Kabandwatz
(@kabandwatz)
Posts: 7
1k Pay Cash
Topic starter
 

@innocent  Au unaimanisha 200k?


 
Posted : March 15, 2025 8:50 pm
Innocent
(@innocent)
Posts: 48
200K Trade Bond
 

@kabandwatz Hii ndio bei ya shambani.


 
Posted : March 16, 2025 7:15 am

Kabandwatz
(@kabandwatz)
Posts: 7
1k Pay Cash
Topic starter
 

Nani kasema?


 
Posted : March 16, 2025 7:17 am