Nimelima shamba la viazi mviringo kutoka Iringa njombo,natafuta wateja popote walipo,Kama unahitaji Viazi tukutane kwenye comment Section.
Nfumo nautumia ku trade ni Dig-Pay kama unaelewa matumizi ya mfumo huu Tayari mimi ni mwanachama niko tayari kufanya biashara na wewe kwatumia huu mfumo.
Kama hili bei Gani?