Click The VIDEO Learn How to Register On The Website.
Ninahitaji Land Rover Discovery4,V6 2010
Habari,
Kwa upande wa Africa Kusini utapata hili Gari,bei zinatofautia kulingana na km ambazo Gari limetumika pamoja na ubora wa Gari kwaujumla.Nitafutafutia Gari zuri baada ya majibu ya maswali yangu hapa chini.
Nitakua mchanganua wa gharama za manunuzi usafiri pamoja na ushuru.
Namba C vipi?
Ipo namba C inahita 25ml.Kama uko tayari njoo ukague Gari.
Gari liko Magomeni mapipa.
@gp-logistics nahitaji used,kuanzia 200,000km kushuka chini,Engine Diesel budget mpaka Tanzania isizidi 35ml.
@pascal Ngumu sana kwa hii budget boss wangu.