Habari!
Kama kuna mtu na anahitaji mahindi naomba unicheki,mzigo wakutoka kuanza tani 10 kwendelea.
Niko Shinyanga mjini.
weka hata kapicha boss tuna mzigo.
Kesho mapema.
Mambo!
Tani moja bei gani?
Vipi Dig-Pay unapokea?