Hii mada ni mzuri sana itasaidia watu wengi.
Nimejaribu kuangalia majukwaa mbalimbali ambako wamejadili changamo za Toyata Vanguard sijaona sehemu hata moja wamejadili matatizo ya kimfumo zaidi ya kujadili kwa hisia na kutafuta follows na baadhi ya majukwaa wanajadili kwalengo la kutafuta wateja wa magari kupitia kwenye hii majadala lakini sio lengo la kuhabarisha watu kuhusu changamoto za haya magari .
Wamiliki wengi sio wataalam wa mambo ya Magari ukitafuta taarifa kama hizi technically watu wenye taarifa hizi sahihi ni Mafundi Magari na baadhi ya wauzaji wa Magari.
Ukweli ni kwamba hili Gari ni zuri kama yalivyo magari mengine kasoro yake lina tatizo momoja kubwa kwenye nfumo Steering System.Kwenye mfumo wa steering kuna kifaa kinaitwa steering reck hiki kifaa ni ugonjwa mkubwa sana kwenye hili Gari.
Dalili zake ni zipi: Ukiagiza Toyota Vanguard likafika nchini jambo la kwanza hakikisha unatafuta na kupita kwenye barabara mbovu yenye mashimo, ukisikia linagonga usiangaike kutafuta ungonjwa mwambie moja kwa moja fundi afungue steering reck,baada ya kuifungua hiyo reck kuna bush mbili ziko ndani ya steering reck utakuta zinacheza mwambie fundi aipeleke waiwekee bush,kisha funga, tatizo litapona japokua baada ya miaka linaweza kuibuka tena.
Bei ya steering reck :
Hapo utachagua mwenye kipi rahisi kwako japakuwa unaweza kununua reck ilala bado ukapata changamoto hiyo hiyo kwakifu reck used siwezi kumshauri mtu.
1.Fanya utafiti wako binafsi.
2.Kama uko vizuri nenda Toyota kanunue mpya funga utakuwa umemaliza tatizo.
3.Kama hauko vizuri kiuchumia agiza japan vumilia kama mwezi moja kwasabu hii steering reck sio kwamba steering inakuwa haifanyi kazi bali ugonga sana mbele ukipita kwenye barabara mbovu.
Ukitaka steering reck mpya genuine Japan kwa bei ya 1,m mcheki member hapa mtu moja anaitwa @jonson-john utapata kwa nusu bei ya Toyota.
@fundi-magari umechangia vizuri kasoro picha tuone hako ka kifaa umekataja.
Hili Tatizo limenisumbua nimetoa zaidi ya 5ml bado gari halijapona nimeamua kuachana nano,Gari lina Gongo vile vile unavyo eleza kwa mbele ukipita kwenye barabara ya vumbi,hapa Nzega kuna mafundi wengi ni mapeli sana hasa wakiona mwanamke.
Hii ndio changamoto ya Toyota Vanguard.
@fundi-magari Mkuu naomba unendele kutupa madi usichoke, bay the way hii profile pc iko vizuri sana kama nakuona i see 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 .
Tuko makini sana kwenye tutekeleza majukumu yetu,siwezi kukua Gari lenyechangamoto kama hizi sidhana kama itaoke.Kwa upande wa spare tunapokea order kama unahita spare tuwasiliane.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Kazi mzuri.