Hello Guys
Nitapatata wapi harage haya kwa wingi?
Ungeweka picha watu waone unacho kihitaji.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.
Vipi umepata haya maharage?
Naomba namba yako ya simu nikupigie nikupe maelekezo.