Habari @jonson-john nahita Gari la kutembele aina ya Vanguard,
Jeupe
km zisididi 100,000.
Bajet yangu na 35,ml.
@paulo-aman Unataka Gari la mwaka Gani?
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Mwaka kwangu sio tatizo kikibwani nipate gari ikina mzuri.
Chukua namba yangu ya whatspp nikutumie picha na bei zake.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
@jonson-john Naomba mtushirikishe hii,hii Thread tunaifatilia wengi tunataka kujua bei ya hili Gari.
Asante karibu tana.