kuna biashara zinaonekana ndogo lakini kipato chake kimechangamka. Mchawi aibu na uthubutu
- Mabonge ya barafu kwa wauza maji wauza samaki n.k.
- Machine za kufyatulia barafu-x3
- Miwa- hii inalipa sana
- Karanga -faida x2
- Kahawa- faida X2
- Fenesi- faida x2
- Morocco. Mbuzi mwenye ubora mzuri anauzwa hadi laki tano(500,000/=)kwa ela ya kitanzania na wakati mwingine mbuzi zinakuwa hadimu bei upanda.
Posted : January 29, 2025 8:58 am