Habari!
Nashida na Bawaba za kuchongo na nondo kwajili ya kutengezea Mageti ya milango ya nyumba,kama kuna mtu mwenyenazo naomba kujua bei ya size zifutazo.
Jamaa yuko Damp kuna jamaa moja anazichonga.
Kama unazo wekapicha tuzioni na bei zake tuzione
Bei nimekutumia private message.mzigo upo wa uwakika.