Nauza Pasi kwajili ya kunyoshea nguo kwa bei ya offa.
30,000
40,000
50,000
inategemea Pasi gani unata.
weka pesa kwenye Wallet nitumie Pasi yako.
Hizi Pas ni mtumba au mpya?
Sio mchina fake huu?
@senator Hiizi ni mpya sio mtumba
Acha dharau kwenye biashara za watu kwani lazima uongee vibaya?