Kama unahitaji Viazi moja kwa moja kutoka shambani nipe Oder yako leo.
Niko Mjombe Iringa kuna viazi vyakutosha ukubwa na uzito tofauti kulingana na mahitaji yako.
Tunatima mzigo popote ndani na nje ya nchi.Kama uko Zambia Malawi DRC Kongo kote tunatuma.
Malipo tupokea kwa njia ya Dig-Cash nfumo wa malipo kwanjia ya online kupitia kwenye hii platform.
Weka balance yako kwenye wallet kabla ya kutumiwa mzigo.
Kama una Kifurushi kikunwa pia utatumiw mzigo bila hata kuwa nana balance kwenye wallet yako ya Digxam
karibuni wote.