Habari waungwana!
Tunatafuta Truck ya kubeba mzigo kutoa Lusaka Kafue Road kwenda Lubumbashi DR Congo kupitia boda ya Kasumbalessa Zambia.
Truck limekwama Zambia mzigo unatoka South Africa unaelekea Lumbumbashi,mzigo wenyewe ni vinywaji vikali na bea za mabox,vibali vyote vya mzigo vipo,hivyo basi kama una Truck tupu please tuwasiline nikupe hii kazi Gari limekwa zaidi ya week.
Ukisoma ujube huu please share kwenye Magroup na kwenye mitandao ya kijamii kwakubonyeza vitufe vya kushare hapo chini.
Huu mzigo bado upo Lusaka?