Tunakodisha shamba kwajili ya kulima mpunga,shamba lenye ukubwa wa heka 50 jirani na mto wa maji,
liko bariadi Kadoto Simiyu,mwenye kuhitaji tuwasiliane.
Ukipata mteja nistue mimi na 40 kagongwa kahama.
Mimi lakwangu lipo kabla ya kufika Shinyanga mjini.
Nashida na shamba la kukodo ila sio huko nataka Dodoma.