Hii ni habari njema kwa wapenzi na wasomi wa vitabu,mimi napatikana Posta Dar Es Salaam kwenye maduka ya kuuza vitabu vilivyoandikwa na watu mbalimbali Duniani.
Kama wewe ni mpenzi wa vitabu basi naomba uniandikie aina ya vitabu nitumia picha yake hapa chini na bei zake kwenye comments section,nitakujibu harakasana.
Asante.Hakikisha una subscribe hii thread yangu na kushare kwenye mitanda ya kiamii.
Karibuni sana.