Notifications
Clear all

WORKPLACE NATAFUTA ENEO LA KUJENGA KIBANDA KWAJILI YA KUUZA MBAO

1 Posts
1 Users
0 Reactions
40 Views
Kamote
(@kamote)
Posts: 2
0.000
Topic starter
 

Kama uko mitaa ya Sinza,kuanzia Kijiweni kwendelea mbele hadi kwa Remy kama kuna mtu anaweza kunitafutia sehemu ya kukodi kwa lengo la kujenga kibanda kwajili ya kushushia na kuuza mbao plaase naomba mawasilino fasata.

 
Posted : January 24, 2025 12:37 pm

Digxam

FREE
VIEW