Mwenyebei ya Mashine ya copy used Japan anitumie nikipata Casio nitafurahi sana.
Ninayo niliagiza muda nikaitumia miaka Miwili tu nikafunga biashara hivyo basi kama unaitaka nikuuzie.
I see
Mashine zao ngumu sana
Pia nashida nayo.
Unataka Hard Copy yenye ukubwa gani?Mwenyebei ya Mashine ya copy used Japan anitumie nikipata Casio nitafurahi sana.
Yenye ukubwa gani?
Kuna kubwa sana.