Notifications
Clear all

MADA KATI YA MONDI NA KIBA NANI MKALI TUMALIZE UTATA.

15 Posts
11 Users
2 Reactions
454 Views
Merry Ommy
(@merry-ommy)
Posts: 8
Customer
Topic starter
 

Β 

mondi

Kati ya Diamond Platinum Vs Ally Kiba nani unamkubali zaidi.Β 

 
Posted : January 24, 2025 10:28 am
Sniper and Okra reacted
Okra
 Okra
(@okra)
Posts: 8
Deposit 50,000
 

@merry-ommy King Kiba na mkubali sana.

 
Posted : January 25, 2025 4:49 pm
Tiba Dioniz
(@tiba-dioniz)
Posts: 4
Balance 0.000
 

@okra Uko kama mimi I see nampe sana Ally Kiba.

 
Posted : January 25, 2025 5:01 pm
Sniper
(@sniper)
Posts: 82
Available 100,000
 

@merry-ommy mimi nakupenda wewe hatari.

 
Posted : January 25, 2025 5:08 pm
Merry Ommy
(@merry-ommy)
Posts: 8
Customer
Topic starter
 

Posted by: @sniper

@merry-ommy mimi nakupenda wewe hatari.

Serious Unapenda nini?

Β 

 
Posted : January 25, 2025 5:14 pm

Sniper
(@sniper)
Posts: 82
Available 100,000
 

@merry-ommy Napenda hizo bastora.

 
Posted : January 25, 2025 11:06 pm
Grolly
(@grolly)
Posts: 7
Balance 0.000
 

Kiba

 
Posted : January 28, 2025 7:41 am
Tatu
 Tatu
(@tatu)
Posts: 24
Customer Available 10,000
 

Kiba namkubali sanaΒ 

 
Posted : February 4, 2025 9:14 am
KANU
 KANU
(@kanu)
Posts: 4
Service Provider
 

Mond tangu karudi kutoka Marekani watu wamemkataa 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Β 

 
Posted : February 4, 2025 9:19 am
SHIRA
(@shira)
Posts: 9
Balance 0.000
 

@kanu Washabiki Β wengi wa Ally Kiba ni washabiki wa Simba kwaiyo kuna mkono wa washabiki wa Simba hapa,hili jambo msilichukulie serous kivile.

 
Posted : February 4, 2025 9:48 am

SHINDA 50K KWAKUWA NA POSTS,LIKES PAMOJA NA VIEWS KWENYE CONTENT ZAKO .

Maelezo Zaidi Bonyeza Hapo Chini.

Merry Ommy
(@merry-ommy)
Posts: 8
Customer
Topic starter
 

@shira Duh Simba kafikaje hapa?Kwani Β wewe kambi gani kati ya Mond na Kiba?

 
Posted : February 4, 2025 9:54 am
SHIRA
(@shira)
Posts: 9
Balance 0.000
 

@merry-ommy Bila unafiki wa washabiki Β wa Simba,namkubali Mond bilakupepesa macho.

 
Posted : February 4, 2025 10:06 am
(@mjasiriamali)
Posts: 19
Balance 0.000
 

Simba la Masimba mbona mnamkataa kulikoni?

 
Posted : February 4, 2025 10:11 am
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 450
 

Kiba.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβœ… Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.βœ…βœ…πŸ‘πŸ’ͺπŸ™πŸΏ

 
Posted : February 6, 2025 12:07 pm
(@amos-abichi)
Posts: 5
Balance 0.000
 

Kiba yuko juu.

 
Posted : February 28, 2025 6:48 pm

TANGAZA BIASHARA YAKO BURE UPATA VIERS 10K KWA WEEK .

Leta Biashara Yako Tukutangazie Bure.

Tuambie Unauza Biashara Gani Au Unatoa Huduma Gani na Unapatikana sehem Gani.

Baada ya Kujisaji Fungua Page Kisha comment hapo chini .


Digxam

FREE
VIEW