Notifications
Clear all

UCHAGUZI Uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa Chadema

30 Posts
23 Users
40 Reactions
391 Views
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 

Chama cha upinzani Tanzania Chadema kinatarajia kuchagua mwenyekiti wake Januari 21. Mpaka sasa Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu ameingia kwenye kinyang'anyiro cha kuwania nafasi hiyo, ambayo kwa sasa inashikiliwa na Freeman Mbowe, ambae anatetea kiti chake.

Maandalizi ya kuelekea uchaguzi huo, tayari yameibua gumzo kubwa huku baadhi wakihisi kuwa matokeo ya uchaguzi huo yanaweza kuleta mpasuko mkubwa katika chama.

Tupe maoni yako kwakuchagua mgombea moja wapo na kumpigia kura hapo chini.

 
Posted : January 21, 2025 7:05 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 
Tundu

 

Kama unamkubali Mh Tundu Lissu mpigie kura yako.

 
Posted : January 21, 2025 7:12 am
Mzalendo, Mzawa, ADOLPHINA KAGEMRO and 32 people reacted
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 
mbowe

Kama unamkubali Mh Freeman Mbowe mpigie kura yako.

 
Posted : January 21, 2025 7:14 am
Mzalendo, Mzawa, ADOLPHINA KAGEMRO and 2 people reacted
Dickson Asanga
(@dickson-asanga)
Posts: 36
 

@veronica-victor Nikitaka kupiga kura nabonyeza wapi?

 
Posted : January 21, 2025 8:08 am
admin
(@admin)
Posts: 250
Admin
 

@Dickson-Asanga

vote

Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.

 
Posted : January 21, 2025 8:15 am
Dickson Asanga
(@dickson-asanga)
Posts: 36
 

@admim asante!

 
Posted : January 21, 2025 8:18 am

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

Mshangazi
(@mshangazi)
Posts: 12
0.000
 

@veronica-victor Huyu baba nampenda hatari.

 
Posted : January 21, 2025 8:36 am
Kandida
(@kandida)
Posts: 23
0.000
 

@Mshangazi Huyu baba anaenda kwa Rais wa Tanzania.Ebu sikiliza hii https://www.youtube.com/watch?v=t2HTUg9LTMw

 
Posted : January 21, 2025 8:52 am
 Camp
(@camp)
Posts: 2
0.000
 

@Mshangazi Mwingira alipigaje hapo?

 
Posted : January 21, 2025 9:00 am
Shalom
(@shalom)
Posts: 39
Deposit 100,000
 

@veronica-victor Shalom!

 
Posted : January 21, 2025 9:02 am
Hello Tanzania 🇹🇿
(@hello-tanzania)
Posts: 17
0.000
 

@veronica-victor Tundu sio mtu wakushindananae atakuaibisha vibaya mno.

 
Posted : January 21, 2025 9:29 am
(@uchebe)
Posts: 5
Deposit 200,000
 

@veronica-victor Mwamba 😂😂😂😂😂😂😂😂

 
Posted : January 21, 2025 9:39 am

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

Uhai
 Uhai
(@uhai)
Posts: 9
Karibu! Current Balance 300,000
 

@Uchebe Mwamba kajichanganya kwenye mifumo ya Lisu 🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤷

 
Posted : January 21, 2025 9:41 am
(@barbershop)
Posts: 15
0.000
 

@Uhai Marko 10:25 ni rahisi Ngamia kupenya katika tundu la Sindano,kuliko Mwamba kumshinda Lissu.

 
Posted : January 21, 2025 9:50 am
(@farida)
Posts: 10
0.000
 

@veronica-victor Mwamba hatoboi mtaniambia.Time will tell.

 
Posted : January 21, 2025 10:00 am
(@full-dose)
Posts: 13
0.000
 

@veronica-victor Mwamba angekubali ushauri wa family yake mambo yasingekuwa mengi hivyo.Uongozi unaokuja vyama vyote wajipange,inakuja safu ya    wakata umeme,vyama vyote wajipange upya mchakamchaka unakuja sio wa kitoto. Kesho mapema na chukua card ya Chadema pia natoka 100k kama mchango wangu na Imani yangu kwa Tundu: 1.Lissu 2.Heche 3.Lema

 
Posted : January 21, 2025 10:19 am
 Beka
(@beka)
Posts: 16
0.000
 

@veronica-victor Mimi ni mwana ccm lakini Lissu akitangazwa Mwenyekiti Chadema nahama ccm 🙅‍♂️🙅‍♂️🙅‍♂️🙅‍♂️🙅‍♂️🙅‍♂️

 
Posted : January 21, 2025 10:39 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 
Screenshot 20250121 134402 X
 
Posted : January 21, 2025 10:50 am

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

Natasha Kazimoto
(@natasha-kazimoto)
Posts: 19
Deposit 200,000
 

@veronica-victor Kumeanza kuchangamka.

 
Posted : January 21, 2025 10:54 am
(@neema)
Posts: 28
 

@veronica-victor Leo mkimtangaza  Tundu Chadema nawachangia 100,000.

 
Posted : January 21, 2025 10:57 am
 Zulu
(@zulu)
Posts: 24
0.000
 

@Neema mimi 20,000 yao ipo wakifanya kweli naomba control number hizo pesa tunamtumia Lisu moja kwa moja.

 
Posted : January 21, 2025 11:06 am
Furaha
(@furaha)
Posts: 31
 

@Zulu Mimi chama changu kinaitwa Tundu Lissu.

 
Posted : January 21, 2025 11:34 am
 Abuu
(@abuu)
Posts: 9
Service Provider
 

Wapenda Amani tuko CCM endelea kupambana na hali zetu.

Wote matapeli wa kisiasa.

 
Posted : January 21, 2025 11:43 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 

Tundu Lissu amechukua usukani wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema.

Lissu amemng'oa madarakani Freeman Mbowe ambaye amekiongoza chama hicho kama mwenyekiti kwa miongo miwili.

Mbowe amekuwa wa kwanza kukiri kushindwa na kumpongeza Lissu kupitia mtandao wa X.

Timu ya kampeni ya Lissu pia imetumia mtandao wa X kutangaza ushindi wake.

 

Matokeo rasmi ya uchaguzi huo uliofanyika Jumanne usiku yanaonesha kuwa Lissu amepata 51.5% ya kura zote dhidi ya 48.3% alizozipata Mbowe.

Mara baada ya wagombea wakuu Mbowe na timu ya kampeni ya Lissu kutuma salamu za matokeo kupitia mtandao wa X, wakala wa Lissu kwenye uchaguzi huo na aliyekuwa Mbunge wa Arusha Godbless Lema aliwaambia waandishi wa Habari kuwa Chadema ndiyo imeshinda.

"Chama kimeonesha demokrasia iliyokomaa… huu ulikuwa uchaguzi huru n awa haki kabisa, na umerushwa mubashara na vyombo vya habari. Watu wote wameliona hilo," amesema Lema.

mwenyeki

 

 
Posted : January 23, 2025 7:46 am

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

Uhai
 Uhai
(@uhai)
Posts: 9
Karibu! Current Balance 300,000
 

Ilikua ni ngumu Mwamba kutoboa kwenye huu uchaguzi.

 
Posted : January 23, 2025 7:53 am
(@karuta)
Posts: 27
Deposit 100,000
 

Hongera Mh Tundu Lissu.

 
Posted : January 23, 2025 8:01 am
(@adolphina-kagemro)
Posts: 2
0.000
 

Pongezi Mh Tundu Lissu.

 
Posted : January 23, 2025 8:09 am
(@adolphina-kagemro)
Posts: 2
0.000
 

Pia pongezi kwa John Heche.

 
Posted : January 23, 2025 8:15 am
Mzawa
(@mzawa)
Posts: 17
Karibu! Public Figure
 

Kapitwa parefu.

 
Posted : January 23, 2025 9:00 am
(@mzalendo)
Posts: 1
0.000
 

Hii inatwa Demokrasia.

 
Posted : January 23, 2025 9:04 am

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.


Digxam

FREE
VIEW