Hii ni habari njema kwa wapenzi wa Senene popote ulipo Dunia,2025 utapata Senene watamu sana kulinganisha na miaka yote ya nyuma.
Kituo changu cha biashara niko Dar Liver side lakini natuma mzigo popote pale ulipo kwa gharama za mteja,
@mwesi-senene Natafuta mtu seriously tufanye Biashara za Senene. Naomba utuambia Kama unapokea Pesa kwa DIG-CASH au laa. Naomba kujua kama unamzigo mkunwa kama unamzigo mkubwa ni mkubwa kiasigani?
Mzigo uko wakutosha pia napokea kwanjia ya DIG-PAY kwenye ewallet hakuna shida boss wangu.
@mwesi-senene Sawa Niko Zanzibar Naomba unicheki kwa Naomba hii kawaida au Whatspp namba yangu inashia na 065
WALE WASIJUA MAANA YA DIG-PAY UNA TOP UP PESA KUTOKA KWENYE SIMU AU CARD YA BANK KUJA KWENYE ACCOUNT YAKO YA DIGXAM KISHA UNAMLIPA MTU BILA KUMTUMIA PESA MOJA KWA MOJA HII INAONGEZA UZAWAZI NA ULINZI KWENYE MIAMALA YA PESA KWENYE BIASHARA ZA MTANDAONI. KAMA UNATAKA KULIPA KWA NJII HII NI SAWA NAPOKEA.
NASHIDA NA SENENE WA 20,000 NIKO TABATA BIMA USAFIRI DEVELIVERY BEI GANI HADI HAPA.
@manka Karibu sana!
Usafiri kutoka Liver kuja hapo Bima ni 2,000 kutoka kujumlisha 20,000 lipia 22,000 tu.
Tayari nimelipa angalia e-wallet yako balance.namba yangu ni 0767 738241 nakuelekeza jinsi ya kunifikia.
@manka Sawa Asante.DK 10 Mzigo wako utakuwa hapo.
Habari! mimi nataka Senene wengi sana kwa bei ya jumla,Niko DRC Lumbumbashi,kama utakuwa tayari nitakupa namba za watu wa Taqwa au Classic wanipakilia mzigo wangu wanilete hapa.
Nalipa kwa DIG-PAY tu.
@shalom Senene wapo wakutosha Naomba Naomba yako yenye Whatspp nikutumia picha na bei.
Naomba kijua hao Taqwa na Classic wana park wapi ili ulipia niwacheku.
Niko Mawasiliano hapa Law Schools ,bei gani delivery hadi hapa?
@mshangazi Hapo Mawasiliano Usafiri ni 2,000 tu.
Nikutumia wa bei gain?
@mshangazi Nambo Naomba yako ya Simu nikutumia mzigo wako.
Ikipita saa 10 jioni usilete nitakuwa nimeondoka hapa.Niko huku nyuma ya chuo.
@mshangazi bodo ujalipia ukilipia dk 5 boda atakuwa hapo.
Home boy utawajua kupitia kwenye huu uzi 😂😂😂😂😂😂
@sniper Watoto buku mbili mnzangua sana tumewakibia Facebook na X mnakuja hadi huku?
Niko Kigamboni Kibada nipataje senene bro?
Simu yako inatumika Sanaa!
namba yangu mwisho ni 234 Naomba nitafute nikupe kazi.
Habari za jumapili wateja wangu!
Kama umepata mzigo wako naomba tukutane hapa na kupeana mrejesho lakini kama una maoni au malalamiko pongezi kuhusu huduma zetu naomba maoni yako nitayafanyia kazi.
@mwesi-senene Fanya kweli nipate hata kuonja boss vipi una pimia za 5,000 nije kuchukua?