January 6, 2025 4:12 am
Topic starter
iPhone XR Mpya.
Location Japan
Naomba ofa yako.
@mshangazi Asante kwakudhiriki. Offa Yako Ndogo.
@Jemima huu ni mnada tunatafuta mshindi naimba bei zote tuziweke hapa.
@Naancy Asante kushiriki ofa yako bado Ndogo endelea kupanda uichukue.
Hii ni Simu original imetengenezwa Japan.
250,000 ipo mezani.
Nomba kuona ios pamoja na free space
Habari Hii simu ina RAM ngapi?