Habari Mafundi. Naitwa ANTON LUSUNGU nina miaka 23, Natafuta fundi wa simu ambaye atakua tayari kunipa mafunzo ya ufundisimu. Napatikana Dar es Salaam.
Kama unanafasi yakunisaidia mawasiliano ni
0628855354
Â
Mwenyewe ataweza kunipa mafunzo anicheki 0628855354 WhatsApp or Normal call 📞/ SMS