Notifications
Clear all

Made In Japan AGIZA CAMERA PROFESSION,LENZI PAMOJA NA DRONS JAPAN.

5 Posts
3 Users
2 Reactions
132 Views
1
Topic starter
YASHIKA

Kama unataka vifaa mbalimbali kwajili ya studio recording,vifaa ambavyo ni  original moja kwa moja kutoka Japan,fanya mambo yafuatayo.

  • Jisajili.
  • Tuambie unahitaji vifaa gani.
  • Tuambie kama unataka vipya au used.
  • Tuambie bajet yako.
  • Tuma.

 

 

Shalom December 29, 2024 5:40 am

@ally-kanagawa Bei ya Canon EOS 90D pamoja na Lens 18-135

Ally Kanagawa Ally Kanagawa Topic starter January 6, 2025 3:57 am

Unataka Camera bila Lenzi?

1 Answer
1

Camera mzuri kwajili ya recording ni hipi?

Ally Kanagawa Ally Kanagawa Topic starter January 6, 2025 3:58 am

@kilimanjaro Naomba ulizia watu wanaofanya kazi ya recording fanya utafuti.

Ally Kanagawa Ally Kanagawa Topic starter January 6, 2025 4:03 am

Naomba kama unahitaji Camera au Lenz fanya hivi tafuta mtu ambaye ana uzoefu na hii kazi muulize akuambia camera gani mzuri ya ktumia kulingana na kazi zako ili ukija hapa uje na aina ya camera nikutaftie.


Digxam

FREE
VIEW