December 27, 2024 10:13 am
Topic starter
Kama kuna mtu mwenye changamoto ya ada kwajili ya kumpeleka mtoto wake shule,kupitia kwenye hii thread utapa kulipiwa ada ya mtoto wako,
Umoja wa wafanya biashara na vijana tunaoishi nje ya Tanzania tumejichanga na kutoa msaada wa kuwalipia ada wanafunzi wanaotoka kwenye familia masikini wenye Ufaulu mzuri.