Notifications
Clear all

DIG-PAY [Sticky] JIUNGE NA HUDUMA YA DIG-PAY UWASILIANE NA MWENZA WAKO KWANJIA YA PRIVATE MSG.

7 Posts
2 Users
2 Reactions
153 Views
Digxam
(@digxam)
Posts: 56
Admin
Topic starter
 
  1. MENU YA VIFURUSHI NYETU.

A.TUMIA HUDUMA YA DIG-PAY HUDUMA YA PRIVATE MSG.

1.JIUNGE KIFURUSHI CHA  SIKU 1,000.

2.JIUNGE KIFURUSHI CHA WEEK  2,000.

3.JIUNGE KIFURUSHI CHA MWEZI 10,000.

4.JIUNGE KIFURUSHI CHA MIEZI 3 15,000.

5.JIUNGE KIFURUSHI CHA MWAKA 20,000.

B.KIFURUSHI CHA MATANGAZO YA BIASHARA PIA KIPO.

1.JIUNGE NA KIFURUSHI CHA SIKU 2,000.

2.JIUNGE KIFURUSHI CHA WEEK 10,000.

3.JIUNGE NA KIFURUSHI CHA MWEZI 30,000.

4.JIUNGE NA KIFURUSHI CHA MWAKA 50,000.

5.JIUNGE NA KIFURUSHI CHA MWAKA 50,000.

C.KIFURUSHI CHA KUTENGENEZA MATANGAZO YA BIASHARA

1.MATANGAZO LA PICHA .

2.TANGAZO LA AUDIO NA PICHA.

3.TANGAZO LA VIDEO.

4.TANGAZO LA ANIMITION.

5.TANGAZO LA HD.

D.KIFURUSHI CHA KUPIN POST YA HAPO JUU

1.KWA WEEK 1,000.

2.WEEK MBILI 1,500.

3.MWEZI 3,000.

4.MWAKA 10,000.

E.JINSI YA KULIPIA

1.INGIA KWENYE MENU YAKO YA SIMU.

2.CHAGUA LIPA KWA SIMU .

3.KWENDA TIGO .

4.WEKA LIPA NMBA 175 561 26.

5.JINA LA MPOKEAJI : DIGXAM TRADES.

6.UKILIPA MTAG Admin.

F.BEI ZINAWEZA KUBADILIKA BILA MAELEZO YOYOYE,LIPIA MAPEMA UPATE HUDUMA.ASANTE KARIBU SANA:)

 
Posted : December 23, 2024 10:30 am
Jemima and Digxam reacted
Jemima
(@jemima)
Posts: 29
Deposit 200,000
 

@digxam Hii huduma ya private messages kwani isitolewe bure kwa users amba tuna vifurushi tafauti na bado viko valid boss?

 
Posted : December 23, 2024 10:42 am
Digxam
(@digxam)
Posts: 56
Admin
Topic starter
 

@Jemima kwani umeshindwa kuwasilina na members wengine kwanjia ya private ?

 
Posted : December 23, 2024 10:48 am
Jemima
(@jemima)
Posts: 29
Deposit 200,000
 

@digxam Yes.

 
Posted : December 23, 2024 10:50 am
Digxam
(@digxam)
Posts: 56
Admin
Topic starter
 

Hii huduma ya private massages kila mtu analipia kama unataka kutumia huduma hii ku chat na users ambaye ni free member it cant work,inabidi wote kila moja anapaswa kuwa na kifurushi chohote au kifurushi hiki hapo juu cha massages tu.

Kinyume na hapo mnaweza ku chat kwakutumia comments section ni bure,

 
Posted : December 23, 2024 10:54 am

SHINDA 50K KWAKUWA NA POSTS,LIKES PAMOJA NA VIEWS KWENYE CONTENT ZAKO .

Maelezo Zaidi Bonyeza Hapo Chini.

Jemima
(@jemima)
Posts: 29
Deposit 200,000
 

@digxam Hapo kwenye comments section wachumba wanashindwa kufunguka vizuri bhana.

 
Posted : December 23, 2024 11:00 am
Digxam
(@digxam)
Posts: 56
Admin
Topic starter
 

Unaweza kulipia in and out messenger kifushi kipo hapa,utapokea ujumbe wa private kutoka kwa members wote pia utaweza kuwatumia wote.

 
Posted : December 23, 2024 11:03 am


Digxam

FREE
VIEW