December 22, 2024 11:47 pm
Topic starter
Natafuta mchumba mwenge Gari la kutembelea.
Nina umri wa 27 natafuta mchumba mwenye usafiri wa Gari,kwaufupi sijazoe kutembea kwa miguu bajaji wa boda, natafuta mwanaume wa kunioa mwenye Gari na kazi mzuri asiwe mtu wa mitungi wala Sigara.Napatikana Dar Kimara.