Notifications
Clear all

RAFIKI. NATAFUTA MCHUMBA MWENYE GARI NDEFU.

4 Posts
3 Users
3 Reactions
115 Views
Mshangazi Nangai
(@mshangazi-nangai)
Posts: 5
Balance 0.000
Topic starter
 

 

361F61F7 A5C9 423A A62C DEFD4BEF8BC3

Habari Marafiki.

 

Napatikana Kigamboni Vijibweni Dar.Natafuta mchumba awe Dereva na 🫢miliki  Gari ndefu kama hii.

 

Kama unamiliki Gari tofauti na hili please usinipoteze muda wako.Umri sio kipengele sana kwangu.

 

Karibu sana twende shamba tukabebe mazao nakuyaleta sokoni.

 
Posted : December 22, 2024 7:46 pm
(@jack-son)
Posts: 4
Balance 0.000
 

@mshangazi-nangai Hii ni code inahitaji D moja tu ya olevel.

Mimi namiliki Scania na Trailer la Abnormal tukienda shamba trip moja tu hakuna kurudia mazao🙅‍♂️🙅‍♂️🙅‍♂️.

 
Posted : December 22, 2024 8:03 pm
Sniper
(@sniper)
Posts: 82
Available 100,000
 

@mshangazi-nangai Unamiliki mkia mrefu au mfupi tuingie mzigoni?

 
Posted : December 22, 2024 8:07 pm
Sniper
(@sniper)
Posts: 82
Available 100,000
 

@mshangazi-nangai Namba tuwasiliane kuna 067 898 1151.

 
Posted : December 22, 2024 8:18 pm


Digxam

FREE
VIEW