December 21, 2024 8:09 am
Topic starter
KAMA UKO SERIOS UNATAKA KAZI ZANDANI.
- TAJA MAJINA YAKO YOTE HAPA.
- TAJA UMRI.
- TAJA KABILA.
- TAJA SEHEMU ULIPO.
- WEKA KAMA UMEWAI FANYA HII KAZI.
- KAMA UMEWAI FANYA NI MUDA GANI.
- FAMILIA YA WATU WANGAPI ULIHUDUMIA.
- UNAHITAJI FAMILIA YA WATU WANGAPI.
- UNATAKA KAZI MKOA GANI.
- WEKA NA PICHA YAKO FULL UONEKANE MZIMA.
- HAKIKISHA UNAWEKA KWENYE QUESTION SIO KWENYE COMMENTS.