Notifications
Clear all

NAFASI ZA KAZI. NAHITAJI WATU WAWILI WAKUFANYA NAO KAZI.

0 Posts
1 Users
1 Reactions
28 Views
1
Topic starter

HABARI!

Natafuta watu watano wakufanya naoa kazi hapa AFrica Kusini,

 

Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu,natafuta wafanyakazi wakufanyanao kazi huku   AFRICA KUSINI KWENYE MJI WA Captow.

 

KAZI

  •  Logistics HUDUMA KWA WATEJA.
  • Kuandaa mizigo ya kuasafirisha kutoka huku kuja huko Tanzania.
  • Kusimamia zoezi zima la upakiajia na ushushaji wa mizgo kwenye Mgari.

SIFA ZA MUOMBAJI.

 

  • Umri kuanzia miaka 18 
  • Lazima muombaji awe na passport ya kitabu.
  • Awe tayari kuasafiri kuja huku South Africa.
  • Kama uko South Africa pia unaweza kuomba Kazi.
  • Kama uko South Africa hakikisha una Passport na unaishi huku kisheria.

MSHAHARA 

  • Kuanzia Rand 3,000 sawa na Tsh 400,000.
  • Ukifanya kazi zaidi ya masaa ya akazi tunalipa overtime. 

MALAZI.

  • Utapewa sehemu ya kulala.
  • Vyombo vyakupikia.

 

Kama unahitaji hii kazi naomba uje kwenye comments section ujieleze tujue uwezo na uzoefu wako.


Digxam

FREE
VIEW