December 16, 2024 9:58 am
Topic starter
@hello-dar Kama kuna mtu kapa hii kazi tunaomba mrejesho tujue tusiendelee kupiga simu nakutuma cv zetu.
@hello-dar Usikubali kutoa pesa kwa mtu anayetangaza kazi,ukiombwa pesa naomba umwambie admin haraka sana afute Tangazo.
Kama kweli uko Serious unahitaji kazi za ndani naomba ufanye mambo yafuatayo
Nakutafutia kazi fasta.