Notifications
Clear all

SOLD! LAPTOP MBOVU IKO SOKONI

17 Posts
5 Users
3 Reactions
80 Views
2
Topic starter

NAUZA LAPTOP YA TOSHIBA  MBOVU JAPOKUA INAWAKA,NADHANI TATIZO NI UCHAKAVU WA BODY YAKE KAMA KUNA MTU NATAKA NAUZA 50,000 TU.

NINGE PENDA KUTOA SHUKURANI KWA MTU ALIWAZA HII PLAFORM YA SIMU NA LAPATOPS KAWAZA VIZURI SANA PIA NFUMO WA DIG-PAY NI MZURI UNAONDOA FLAUD ZA MITANDAONI.

 

Suzani Suzani December 16, 2024 7:22 am

@hello-tanzania Ungeweka hata Kampicha ingependeza zaidi.

Hello Tanzania 🇹🇿 Hello Tanzania 🇹🇿 Topic starter December 16, 2024 7:26 am

Sawa ngoja kidogo nazitafuta.

Kabandwa December 16, 2024 7:30 am

@hello-tanzania Kapicha kananogesha biashara.

Hello Tanzania 🇹🇿 Hello Tanzania 🇹🇿 Topic starter December 16, 2024 7:32 am

Soon naziweka hapo.

Hello Tanzania 🇹🇿 Hello Tanzania 🇹🇿 Topic starter December 16, 2024 7:33 am

Soon naziweka

Hello Tanzania 🇹🇿 Hello Tanzania 🇹🇿 Topic starter December 16, 2024 7:35 am

Soon naziweka

Kabandwa December 16, 2024 7:36 am
1 Answer
1
Topic starter
C21D67D1 9DA1 470C 8123 243CE3040B33
96CB3D09 3B81 487C BACA 368AA65369A4
CA55EC8E 8F13 40B5 B8D7 EE2C9694E07F
Fundi Laptops Fundi Laptops December 16, 2024 7:45 am

@hello-tanzania Bei yako ya mwisho bei gani?

Fundi Laptops Fundi Laptops December 16, 2024 7:46 am

@hello-tanzania Uko mkoa Gani?

Hello Tanzania 🇹🇿 Hello Tanzania 🇹🇿 Topic starter December 16, 2024 8:01 am

Niko Tabata Dar

Hello Tanzania 🇹🇿 Hello Tanzania 🇹🇿 Topic starter December 16, 2024 8:01 am

Bei ndio hiyo 50,000 pamoja na usafiri,nitakutumia popote ulipo kwa bei hii.

Faraja Faraja December 17, 2024 6:37 am

@hello-tanzania Nalipipia unapokea pesa kwanjia gani?

Hello Tanzania 🇹🇿 Hello Tanzania 🇹🇿 Topic starter December 17, 2024 6:55 am

Nitume kwenye namba ya VODA ya Wakala 886018 Paulo Hamaro

Faraja Faraja December 17, 2024 6:59 am

@hello-tanzania Hapana sitaki mambo ya kiswahili unamtu mtu hela kisha unakuwa mjinga naomba nikutumia kwa DIG-WALLET.

Faraja Faraja December 17, 2024 7:00 am

@hello-tanzania Angalia balance kwenye wallet yako.

Hello Tanzania 🇹🇿 Hello Tanzania 🇹🇿 Topic starter December 17, 2024 7:09 am

Asante namba yangu mwisho 18 nakupigia malanyingi naona kimya pokea tuongee.


Digxam

FREE
VIEW