Notifications
Clear all

KIOO MWENYE KIOO CHA iPhone 7 KAVU

11 Posts
4 Users
1 Reactions
96 Views
1
Topic starter

Mwenye kioo cha iPhone 7 kavu naomba bei 

kiwe cheusi.

Kiwe original sio fake.

Niko Singida Mjini.

Mshangazi Mshangazi Topic starter December 15, 2024 3:23 pm

Bajeti yangu ni 50k .

Fundi Simu Fundi Simu December 15, 2024 3:27 pm
Mshangazi Mshangazi Topic starter December 15, 2024 3:33 pm

@Fundi-Simu unataka kuniambia kioo cha iPhone 7 kina bei kubwa hivyo?

Abdul Fundu Simu December 15, 2024 4:07 pm
Mshangazi Mshangazi Topic starter December 22, 2024 2:07 pm
Fundi Simu Fundi Simu December 23, 2024 10:10 am
Fundi Simu Fundi Simu December 23, 2024 10:11 am

@mshangazi kioo kipo weka balance kwenye wallet nakutuma fasta.

Mshangazi Mshangazi Topic starter December 23, 2024 11:10 am

Tayari angalia kwenye ewallet yako,naomba ukitume kama tulivyokubaliana bro.

Fundi Simu Fundi Simu December 23, 2024 6:36 pm

@mshangazi Sawa nimetuma Mwambie admin Achille pesa yangu tayari nimetuma

Fundi Simu Fundi Simu December 23, 2024 6:36 pm

@mshangazi Utapigiwi simu.

Juma Sanka Juma Sanka December 24, 2024 6:08 am

@Fundi-Simu simu yangu inachangamoto ya sauti simu inaita nikipokea sisikii kitu.


Digxam

FREE
VIEW