December 15, 2024 9:29 am
Topic starter
Nina laptop ya Toshiba imezingua kinyama imezima ghafla sijajua shinda nini mafundi naomba masaada wenu.
@sniper Ningu kujua chanzo cha tatizo labda ungesema ulipo watu wakutafute wakuangalizie tatizo.