Habari Mafundi!
Natuta Battery ya simu yangu ya blue nitapata kwa bei gani?
Angalia vizuri hii simu nataka exactly kama utanitukia tofauti nalipa kwa Dig-Pay
@tatu Ndio hii 💯 sibatishi.Lipia kwa Dig-Pay sawa nauakika na kazi zangu.
Battery ipo bei yake 30,000 tu.
Mini ni Winga wa online ukitaka kufanya kazi na mimi fanya hivi Post kile kitu unatafuta kisha nitakuunganisha na wauzaji. 💣 🍒 🍹 🍻
@winga-mzoefu BLD8FU18N9256 Confirmed. Tsh35,000.00 paid to LIPA DIGXAM TRADES JW on 15/12/24 at 11:05 AM and charged Tsh1,000.00.