December 13, 2024 3:05 pm
Topic starter
Mwenye Body ya Sumsing Galax A 22 5G naomba body kaha hapo kwenye picha na bei yake tufanye pamoja na protection biashara.
@joyce-chau Hii hapa 50,000 pamoja na Screen Project.
Hii ni Screen Protector sio.
Punguza bei kidogo nifanye muamala tufanye biashara.
@joyce-chau Hiyo 50k haipungua hata 100,hii bei bila usafiri plus usafiri ni 55,000.
Sawa Mambo yasiwe mwengi nalipia kwanjii ya DIG-PAY matamalizana huko nitumie vitu vyangu haraka.
CQID8FU18N9675 Confirmed. Tsh55,000.00 paid to LIPA DIGXAM TRADES